OUR MISSION
To facilitate the integrated growth of pupils that is physical, psychological, and intellectual. To empower the young to discover their personal and social rights, to live for truth, justice, religious harmony, and peaceful co-existence.
DHIMA YETU
Kusisitiza ukamilishaji wa kukua wanafunzi hususani kimwili , kiroho na kiakili. Kuwawezesha kugundua haki zao kibinafsi na kijamii kuishi kwa ajili ya ukweli, haki na mapatano kidini na kuishi pamoja kwa amani na watu wote.