OUR VISION

Promote an appreciation of the national identity and personal integrity, respect for human right, equality, and cultural and moral values. To educate and equip the young for physical and intellectual works to create a better world.

DIRA YETU

Kuedeleza upendo na kujitambua kitaifa, utu kamili, heshima kwa haki za binadamu, usawa, desturi na mila, thamani za utamaduni na tabia. Kuelimisha ili kufanya kazi za kimwili na kiakili na kuifanya dunia mahali pazuri zaidi.