ADMISSION 2023
Pre– Primary I – for Children aged 4-5 years old
Pre– primary II – for children aged 5-6 years old
Standard one for children aged 6-7 years old
Application forms are available at the school office, and At Mary Mother of Rosary Parish, Bombambili or in this website
Admission:
Admission is through interview and assessment tests only. The children who come for the interview /tests should be accompanied by their parent or guardian. The following items are required at the time of interview/registration:
- Birth certificate (original and a Photocopy)
- Admission Fees: Tsh. 10,000
Date of interview/registration:
- Interview for the new academic year starts from 20th November, 2022.
- for further information please contact: 0784377306 / 0758204865
- Email: fransalianb2@gmail.com
School Motto: Learning and Growing Together
USAJILI – 2023
Elimu ya awali hatua I kwa watoto wenye umri wa miaka 4 – 5
Elimu ya awali hatua II kwa watoto wenye umri wa miaka 5 – 6
Darasa la kwanza I kwa watoto wenye umri wa miaka 6 – 7
Fomu za maombi zinapatikana katika Ofisi za shule na Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozari Bombambili au unaweza kupakua kutoka kwenye tovuti hii
Usajili utakuwa wa usaili na mtihani wa upimaji, kwa watoto watakaokuja kwa ajili ya usaili au jaribio ni lazima waje na wazazi au walezi wao. wakati wa usajili atatakiwa kuja na vitu vifuatavyo;
- Cheti cha kuzaliwa (halisi na nakala)
- Ada ya usajili Tsh. 10,000/=
Tarehe ya usaili au usajili:
- Kwa mwaka mpya wa masomo usaili utaanza tarehe 20-11-2022
- Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na: 0784377306 / 0758204865
- Email: fransalianb2@gmail.com
MOTO WA SHULE : Tujifunze na Tukue Pamoja