Maelekezo ya kununua fomu mtandaoni
- Lipia TSh 10,000/= kwenye namba ifuatayo
 |
0784 377 306 |
Tumia namba ya simu TU kufanya malipo. Usitumie wakala wala benki.
Jina ni SHEEJAN KALLARAKKAL
-
Ndani ya muda mfupi tutakutumia ujumbe kwenye namba uliyoitumia kufanya malipo. Ujumbe huo utakuwa na token.
-
Bonyeza Pakua fomu. Ingiza namba ya simu uliyotumia kufanya malipo.
-
Ingiza token tuliyokutumia kwa ujumbe mfupi
-
Ingiza majina mawili ya mwanafunzi kwenye sehemu husika. Kuwa makini, hutaweza kubadilisha ukishahifadhi taarifa
-
Hifadhi Taarifa
-
Pakua fomu. Ichape na ufuate maelekezo yake.
Imetengenezwa na Code Dreamers